TAZAMA PICHA HAPA:-Maandamano ya Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yamefana, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, December 21, 2015

demo-image

TAZAMA PICHA HAPA:-Maandamano ya Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yamefana, Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York.

.com/simgad/
1
Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) imetimiza lengo lake juu ya Maandamano hayo yaolifanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York  yalianza asubuhi mapema ya  saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM) lengo kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015.TAZAMA PICHA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.
2

3

4

5
 Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *