TAZAMA FULL VIDEO:- Bishop Gwajima akiongea na Waandishi leo September 08,2015 -na kumjibu Dr. Slaa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 08, 2015

TAZAMA FULL VIDEO:- Bishop Gwajima akiongea na Waandishi leo September 08,2015 -na kumjibu Dr. Slaa.

Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, hiyo ilikuwa siku kadhaa baada ya Dk. Slaa kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Vikao vya CHADEMA pamoja na Vyama vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado hazijaacha kuibuka.


Kulikuwa na madai ambayo yaliripotiwa na Vyombo vya Habari pamoja na kuandikwa sana Magazetini na Mitandaoni pia ambapo Maaskofu walitajwa kuhusishwa na Rushwa… Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kaongea Dar es Salaam… Kujua  alichokisema BONYEZA VIDEO HAPO CHINI.

 

Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za  Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga  na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad