Vichwa vya Habari vilibeba stori kubwa November 13, 2014 kuhusu Sultan Kosen, raia wa Uturuki ambae ndio mtu mrefu
zaidi Duniani pamoja na Chandra Dangi
Raia wa Nepal ambaye alikuwa
anashikilia Rekodi ya kuwa mtu mfupi zaidi Duniani walipokutana kwa mara ya
kwanza Uingereza kwenye Maadhimisho ya Guinness
World Record Day.
|
Habari
ya kusikitisha ni kwamba nafasi ya Rekodi ya mtu mfupi zaidi Duniani inabaki
wazi kwa sasa baada ya Chandra Bahadur Dangi
kufariki akiwa na umri wa miaka 75.
Baada
ya Chandra kufariki sasa ni
zaidi ya siku tano na bado hakuna jibu la nani atakayefikia rekodi aliyoweka ya
kuwa mtu mfupi zaidi kuwahi kutokea Duniani ambapo alikuwa na Urefu wa inch
21.5.
Picha
nyingine kumbukumbu ya kukutana kwa Chandra
na Sultan hizi hapa
mtu wangu...Kwa hisani ya:-millardayo.com
|
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630. |
No comments:
Post a Comment