Wadau wa
Usafirashaji wakiwa katika Maonyesho ya ‘Fuso ni faida’ jijini Dar es Salaam.
|
Mtandao wa
miundombinu ya barabara nchini Tanzania inayokadiriwa kuwa na kilometa za mraba
91,049 ambayo ni mara 30 zaidi ya mtandao wa reli ambayo inaambaa kwenye eneo
lenye ukubwa wa takribani kilomita za mraba 3,682 ikidhihirisha kuwa barabara
ndiyo njia kuu inayopendelewa kutumika katika usafirishaji wa mizigo.
Usafirishaji
nchini Tanzania unajumuisha mitandao ya barabara, anga, reli na maji ambapo
katika njia zote hizi, barabara na reli zinaongoza zikifuatiwa na maji na anga.
Hakika katika suala la umbali, mtandao wa
barabara za Tanzania unashika nafasi ya 51 duniani, kutokana na taarifa zilizonukuliwa
katika kitabu “ CIA world fact book”.............BOFYA ZAIDI HAPA KUTAZAMA PICHA/KUSOMA.
Papo kwa Papo >>>> Pata Picha, Habari za Siasa, Kijamii, Biashara, Muziki na Michezo
na Nyingine kwa kujiunga na mimi hapa…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia
tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
|
No comments:
Post a Comment