Mama Anna amewatahadharisha wananchi wa jimbo
hilo juu ya madhara ya utoaji na upokeaji rushwa vinavyo turudisha nyuma hata
baada ya nchi yetu kujaliwa maliasili nyingi na ardhi kubwa yenye rutuba. "Wana Tunduru msikubali kutoa na kupokea rushwa, rushwa ni adui, rushwa ni mdudu na rushwa ni umasikini".
VIPAUMBELE
Mama Anna alijikita zaidi kuelezea vipaumbele vyake na mikakati mingi ya jinsi atavyo fanikisha ahadi zake, moja kati ya vipaumbele vyake ni hifadhi ya jamii iliyoonekana kuwagusa wananchi wengi wa jimbo hilo ambao yaonekana hawakuwahi sikia kuhusu hifadhi ya jamii na faida zake. mwisho wa mkutano huo, wananchi walionekana kuguswa sana na hotuba ya Mama Anna kiasi cha kusukuma gari yake kwa umbali wa kama kilomita tatu tokea eneo la mkutana. Ziara ya Mama Anna Kanda ya Kusini inaendelea na leo yupo Masasi kabla ya kesho kwenda Newala kisha Lindi na Kurudi Dar es salaam kisha kanda ya kaskazini. Picha zote kwa hisani ya .. Ndatama Mafuru Bwire |
Saturday, September 26, 2015
Home
SIASA
KAMPENI URAIS ACT Wazalendo:-"Viongozi wa dini Katazeni waumini wenu kutoa na kupokea Rushwa.
KAMPENI URAIS ACT Wazalendo:-"Viongozi wa dini Katazeni waumini wenu kutoa na kupokea Rushwa.
Tags
# SIASA
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
SIASA
Labels:
SIASA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment