LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Imeendelea Februari 21,2015 kwa Mechi 3 na zote Matokeo ya Bao 1-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 21, 2015

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Imeendelea Februari 21,2015 kwa Mechi 3 na zote Matokeo ya Bao 1-0.

 Kagera Sugar, waliokuwa ‘kwao’ huko Kambarage Mjini Shinyanga kwenye mchezo wa Ligi kuu soka Vodacom Tanzania bara 2014/2015 wameifunga Timu ya  Polisi Moro 1-0, huku Ndanda FC waliokuwa Nyumbani Nangwanda, Mtwara wakiichapa Coastal Union Bao 1-0 na Mgambo JKT, wakiwa kwao Mkwakwani Mjini Tanga, waliitungua Mtibwa Sugar 1-0 kwenye mechi zote zikichezwa leo hii Februari 21,2015.

Kesho Jumapili Februari 22,2015,Vigogo wa soka watacheza mechi zao kwa Yanga SC  ambao wanaongoza Ligi wakiwa Pointi 2 mbele ya Mabingwa Watetezi Azam FC, wako huko Sokoine Mjini Mbeya kucheza na Watoto wa Nyumbani, Mbeya City.

Pia Simba SC wako Ugenini huko Shinyanga kucheza na Stand United na Azam FC wako kwao Azam Complex, Chamazi kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salaam kucheza na Tanzania Prisons.

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

LIGI KUU VODACOM 2014/2015 RATIBA.

Jumapili Februari 22,2015.

Mbeya City v Yanga

Stand United v Simba

Azam FC v Tanzania Prisons
MSIMAMO VPL.

NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Yanga
14
8
4
2
18
7
 
11
28
2
Azam FC
14
7
5
2
22
12
 
10
26
3
Kagera Sugar
16
6
6
4
13
11
 
2
24
4
Simba
14
4
8
2
15
11
 
4
20
5
Ruvu Shooting
15
5
5
5
10
11
 
-1
20
6
Mtibwa Sugar
15
4
7
4
15
15
 
0
19
7
Coastal Union
16
4
7
5
10
10
 
0
19
8
JKT Ruvu
15
5
4
6
14
15
 
-1
19
9
Polisi Moro
16
4
7
5
12
14
 
-2
19
10
Ndanda FC
16
5
4
7
14
18
 
-4
19
11
Mbeya City
14
4
5
5
9
11
 
-2
17
12
Mgambo JKT
14
5
2
7
8
15
 
-7
17
13
Stand United
15
3
6
6
13
18
 
-5
15
14
Tanzania Prisons
14
1
8
5
10
15
 
-5
11

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad