AJALI:-Tazama Picha 6 za Lori likianguka wilayani Ngara mkoani Kagera baada ya Mvua kunyesha leo Februari 21,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 21, 2015

AJALI:-Tazama Picha 6 za Lori likianguka wilayani Ngara mkoani Kagera baada ya Mvua kunyesha leo Februari 21,2015.

Ajali hii ya Lori kubwa aina ya Scania iletokea leo Februari 21,2015 majira ya Mchana katika barabara ya Benaco kwenda Rusumo/Rwanda wilayani Ngara mkoani Kagera baada ya  kufeli  na kuteleza kufuatia mvua zinazonyesha katika wilaya hiyo.

Hakuna aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha kwani Dereva alitoka akiwa na tabasamu kama ishara ya kuonesha hakuumizwa katika ajali hiyo.





Picha zote Na:-Mwanawamakonda WhatsApp.....UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad