KUPANDA LIGI KUU TANZANIA:-Mwadui FC Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, February 23, 2015

demo-image

KUPANDA LIGI KUU TANZANIA:-Mwadui FC Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara.

.com/simgad/
MWADUI%2BFC
Timu ya Mwadui FC ya Shinyanga imetwaa Ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara 2014/2015, kufuatia ushindi wa 1-0, bao pekee la Mchezaji Kelvin Sabato dakika ya 81 ya mchezo huo hapo Jana Februari 22,2015 dhidi African Sports ya Tanga kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. 

Mwadui FC, African Sports kwa pamoja na Majimaji FC ya Songea na Toto Africans ya Mwanza zimepanda Ligi kuu Tanzania bara msimu ujao wa 2015/2016.


UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *