![]() |
Askari Polisi wakimpandisha Halima Mdee kwenye gari la Polisi baada
ya kumkamata hapo jana Octoba 04,2014 na Wananchama wenzake wa CHADEMA.
|
Mfuasi wa CHADEMA akishikiliwa na Polisi na kupelekwa katika gari la Polisi
ambapo Katika kudhibiti maandamano hayo jeshi la polisi walitumia maji ya
washawasha kutawanya wafuasi hao wa CHADEMA.
|
Halima Mdee akiwa ndani ya gari la polisi pamoja na wafuasi wa chadema
wakipelekwa katika kituo cha Polisi cha Osterbay.
|
![]() |
Mwenyekiti wa Bawacha taifa Halima Mdee akizozana na Polisi mara baada
ya kuingizwa kwenye gari.
|
Karibu
kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana
/Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp
![]() |
No comments:
Post a Comment