Mwili wa
mama, na wa mmoja wa watoto unaonekana kwa mbali nyuma yake.
Aidha moshi unaotolewa na Jenereta, mfano kama mkaa, magari, pikipiki, na
mashine nyingi, kuna gesi ya “carbon monoxide (CO)” ambayo, ni sumu
inayokusababisha mwili wa Binadamu kama ikivutwa kuchoka, kupoteza fahamu, na hatimaye kufariki taratibu bila
onyo, maumivu, wala kujijua.
Utadhani unapata usingizi na kujilaza, kumbe ndio
mauti yanakukuta. Uthithubutu kupika kwa kutumia mkaa ndani ya nyumba bila
kufungua madirisha, au kuwasha jenereta ndani ya nyumba, au kuwasha gari katika
“garage” wakati madilisha na milango imefungwa; maana hiyo ni sawa na kucheza
na kifo.
Gesi ya Carbon Monoxide ni tofauti na Carbon Dioxide (CO2)
inayopumuliwa na wanyama, ambayo si sumu na inatumiwa na mimea katika
photosynthesis.
|
No comments:
Post a Comment