DABI ya LONDON yawatoa Arsenal na Chelsea sare ya 0-0 na Matokeo haya yameibakisha Liverpool ikiwa bado kileleni wakifungana Pointi na Arsenal. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, December 24, 2013

DABI ya LONDON yawatoa Arsenal na Chelsea sare ya 0-0 na Matokeo haya yameibakisha Liverpool ikiwa bado kileleni wakifungana Pointi na Arsenal.

Wachezaji wa Arsenal na Chelsea katika mchezo wa DABI ya LONDON ilichezwa Emirates huku Jiji la London likikumbwa na Mvua kubwa na upepo mkali na Bigi Mechi hii iliyongojewa kwa hamu kati ya Arsenal na Chelsea kumalizika 0-0.

Matokeo haya yameibakisha Liverpool ikiwa bado kileleni wakifungana Pointi na Arsenal, wote wakiwa na 36, na Man City wakishishika Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 1 nyuma  huku Chelsea, waliofungana kwa Pointi na Everton, wakiwa Nafasi ya 4.
Respect: Arsene Wenger and Jose Mourinho shake hands prior to kick off:-Ukiondoa shuti la Frank Lampard kupiga Posti Kipindi cha Kwanza hakuna Nafasi za wazi kabisa zilizotokea katika Mechi hii na iliwachukua Arsenal hadi Dakika ya 85 kupiga moja ya Mashuti yao mawili tu yaliyolenga Goli katika Mechi nzima.
LIGI KUU ENGLAND:-2013/2014.
MSIMAMO.

NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Liverpool
17
23
36
2
Arsenal
17
16
36
3
Man City
17
31
35
4
Chelsea
17
14
34
5
Everton
17
13
34
6
Newcastle
17
2
30
7
Tottenham
17
-5
30
8
Man United
17
8
28
9
Southampton
17
4
24
10
Stoke
17
-4
21
11
Swansea
17
0
20
12
Hull
17
-6
20
13
Aston Villa
17
-6
19
14
Norwich
17
-14
19
15
Cardiff
17
-12
17
16
West Brom
17
-5
16
17
West Ham
17
-8
14
18
Crystal Palace
17
-16
13
19
Fulham
17
-17
13
20
Sunderland
17
-18
10

RATIBA MECHI ZIJAZO:-2013/2014.
[Saa za Bongo]
Alhamisi Desemba 26,2013.

1545 Hull v Man United
1800 Aston Villa v Crystal Palace
1800 Cardiff v Southampton
1800 Chelsea v Swansea
1800 Everton v Sunderland
1800 Newcastle v Stoke
1800 Norwich v Fulham
1800 Tottenham v West Brom
1800 West Ham v Arsenal
2030 Man City v Liverpool


Jumamosi Desemba 28,2013.

1545 West Ham v West Brom
1800 Aston Villa v Swansea
1800 Hull v Fulham
1800 Man City v Crystal Palace
1800 Norwich v Man United
2030 Cardiff v Sunderland 


Jumapili Desemba 29,2013.

1630 Everton v Southampton
1630 Newcastle v Arsenal
1900 Chelsea v Liverpool
1900 Tottenham v Stoke

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad