Tazama picha 3 za basi la Kangibomba mali ya Mbunge wa Jimbo la Mwibara Kangi Lugora jinsi lilivyoteketea kwa moto mjini Bunda - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 26, 2013

Tazama picha 3 za basi la Kangibomba mali ya Mbunge wa Jimbo la Mwibara Kangi Lugora jinsi lilivyoteketea kwa moto mjini Bunda

Ni muonekano wa  basi la Kangibomba (Namba za usajili hazikujulikana haraka) mali ya mbunge wa jimbo la mwibara Kangi Lugora jinsi lilivyoteketea kwa moto mjini Bunda Mkoani Mara.


Basi hilo limeungua wakati mafundi wakichomelea baadhi ya vitu….Picha Na kwa Hisani ya Mdau : Johnson Matinde Valeron.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad