Real Madrid na Borussia Dortmund, zimefanikiwa kuwa Timu mbili za kwanza kutinga Nusu Fainali UEFA Champions League 2012/2013. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 10, 2013

Real Madrid na Borussia Dortmund, zimefanikiwa kuwa Timu mbili za kwanza kutinga Nusu Fainali UEFA Champions League 2012/2013.


 
FT: Galatasaray 3-2 Real Madrid (57' Eboué, 71' Sneijder, 72' Drogba | 8', 92' Cristiano) agg 3-5. ¡Hala Madrid!



Real Madrid walichapwa Bao 3-2 na Galatasaray huko Instanbul, Uturuki lakini wamesonga kwa Jumla ya Mabao 5-3 baada ya kushinda Mechi ya kwanza kwa Bao 3-0 na Borussia Dortmund, waliotoka 0-0 na Malaga katika Mechi ya kwanza, leo wamezinduka toka kuwa nyuma kwa Bao 2-1 kwa kupiga Bao mbili Dakika za majeruhi na kufuzu kwa ushindi wa Bao 3-2.

Borussia Dortmund 3-2 Málaga CF (agg: 3-2)




Jumatano Aprili 10,2013.




Barcelona v Paris Saint Germain [2-2]



Juventus v Bayern Munich [0-2]




NUSU FAINALI




Mechi ya 1= Tarehe 23 na 24 Aprili 2013



Mechi ya 2= Tarehe 30 Aprili  na 1 Mei 2013





FAINALI



25 Mei 2013


UWANJA wa WEMBLEY, London.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad