Tazama Taifa Stars ilivyoikandamiza Morocco Bao 3-1 katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, March 25, 2013

demo-image

Tazama Taifa Stars ilivyoikandamiza Morocco Bao 3-1 katika mchezo wa kufuzu fainali za kombe la Dunia 2014 uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.

.com/simgad/
IMG_6283

Mechi za Kanda ya Afrika kuwania kutinga Fainali za Kombe la Dunia Mwaka 2014  huko Brazil  zilizochezwa zimeiwezeka pabaya Timu vigogo kwa  Morocco kutandikwa 3-1 na Tanzania, Zambia ambao walikuwa Mabingwa wa Afrika Mwaka jana ,wakitoka droo ya 1-1 na Lesotho, Congo DR wakitoka sare 0-0 na Libya.

Pix-1

Kikosi cha Taifa Stars kilichoisambaratisha timu ya Morocco kwa mabao 3-1 katika mchezo wa kufuvu fainali za kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
DSC_0025
DSC_0010

Kikosi cha Morocco.
IMG_6587
IMG_6609


Cape Verde, Timu iliyoshangaza wengi kwenye AFCON 2013 huko Afrika Kusini mwanzoni mwa Mwaka ilipigwa Bao 4-3 na Equatorial Guinea.


Jumanne zipo Mechi mbili kati ya Egypt na Zimbabwe na Benin watasafiro kwenda kucheza na Algeria.


MATOKEO:



Jumamosi Machi 23


Congo 1 Gabon 0

Cameroon 2 Togo 1

Nigeria 1 Kenya 1

Côte d'Ivoire 3 Gambia 0

Namibia 0 Malawi 1

Senegal 1 Angola 1

Burkina Faso 4 Niger 0

Tunisia 2 Sierra Leone 1

South Africa 2 Central African Republic 0



Jumapili Machi 24


Tanzania 3 Morocco 1

Lesotho 1 Zambia 1

Mozambique 0 Guinea 0

Rwanda 1 Mali 2

Congo DR 0 Libya 0

Ethiopia 1 Botswana 0

Ghana 4 Sudan 0

Liberia 2 Uganda 0

Equatorial Guinea 4 Cape Verde Islands 3



Jumanne Machi 26


Egypt-Zimbabwe

Algeria-Benin
IMG_6616
Pg.24

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania  ‘Taifa Stars’, Mbwana Samata akiruka juu kushangilia bao la 3 aliloifungia timu yake dhidi ya Morocco katika mchezo wa  kufuzu fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil 2014 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Amri Kiemba na Thomas Ulimwengu.
IMG_6622
IMG_6625
IMG_6851
IMG_6938

  Nyota wa mchezo, Mbwana Samata ambaye aliipatia timu yake mabao 2.
IMG_6844

Raha ya ushindi.
IMG_6841


KUNDI A



TIMU
MECHI W D L GF GA Pts
Ethiopia 3 2 1 0 4 1 7
South Africa 3 1 2 0 4 2 5
Central African 3 1 0 2 2 4 3
Botswana 3 0 1 2 1 4 1



KUNDI B



TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Tunisia 3 3 0 0 7 3 9
Sierra Leone 3 1 1 1 5 5 4
Equatorial Guinea 3 1 1 1 7 8 4
Cape Verde Islands 3 0 0 3 5 8 0



KUNDI C



TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Ivory Coast 3 2 1 0 7 2 7
Tanzania 3 2 0 1 5 4 6
Morocco 3 0 2 1 4 6 2
Gambia 3 0 1 2 2 6 1




KUNDI D



TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Zambia 3 2 1 0 5 1 7
Ghana 3 2 0 1 11 1 6
Lesotho 3 0 2 1 1 8 2
Sudan 3 0 1 2 0 7 1




KUNDI E


 
TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Congo 3 3 0 0 5 0 9
Burkina Faso 3 1 0 2 4 4 3
Niger 3 1 0 2 3 5 3
Gabon 3 1 0 2 1 4 3




KUNDI F


 
TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Nigeria 3 1 2 0 3 2 5
Malawi 3 1 2 0 2 1 5
Namibia 3 1 0 2 1 2 3
Kenya 3 0 2 1 1 2 2




KUNDI G


 
TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Egypt 2 2 0 0 5 2 6
Guinea 3 1 1 1 3 3 4
Mozambique 3 0 2 1 0 2 2
Zimbabwe 2 0 1 1 0 1 1




KUNDI H



TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Mali 3 2 0 1 4 3 6
Benin 2 1 1 0 2 1 4
Algeria 2 1 0 1 5 2 3
Rwanda 3 0 1 2 2 7 1



KUNDI I



TIMU
MECHI W D L GF GA Pts
Cameroon 3 2 0 1 4 3 6
Libya 3 1 2 0 3 2 5
Congo DR 3 1 1 1 2 1 4
Togo 3 0 1 2 2 5 1




KUNDI J



TIMU MECHI W D L GF GA Pts
Senegal 3 1 2 0 5 3 5
Liberia 3 1 1 1 3 3 4
Angola 3 0 3 0 2 2 3
Uganda 3 0 2 1 2 4 2




FAHAMU: Mechi zinazofuata ni Mwezi Juni.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *