![]() |
Pilipili |
Punyeto
( kwa wanaume ) ni kitendo cha
mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua
uume hadi kumwaga
mbegu za kiume.
Uchunguzi unaonyesha katika
watu wa jinsia ya kiume kumi wenye
umri wa kuanzia miaka 16 hadi
45,angalau wanne kati yao wamewahi kupiga
punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao
na wawili kati yao wanajihusisha na
upigaji punyeto.
Uzoefu
unaonyesha,asilimia kubwa ya wanaume wanao
piga punyeto huanza katika umri wa
kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana
na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi
wa kike ama kuoa na wengine huendelea
na tabia hiyo hata baada ya kuoa .
Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake (mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika.
ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.
Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume anayepiga punyeto
hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo
fanya uume usimame.
Mwisho
wa siku uume hulegea na kusinyaa na
kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika
kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha,kuna idadi
kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa
na tatizo la upungufu wa nguvu za
kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa
muda mrefu.
Athari
za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume,
nadhani zinajulikana,ila kwa faida ya wote
tutazizungumzia kwa kina siku za mbele,lakini
kwa ufupi ni aibu kubwa sana
kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa
uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : (MIONGONI
MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA
DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA
ONANISM ).
![]() |
Pilipili |
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu,upigaji
punyeto ni moja kati ya matendo yanayo
muudhi Mwenyezi Mungu,kwa sababu yanapigana
na utaratibu aliouweka .
( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake,na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema,Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni.
Biblia
inasema katika kitabu kile cha Mwanzo
38: 10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
Umeona!
Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo
la masturbation ni “umauti!”. Umauti huo
unaweza usiwe kama ulio mpata Onan, ila
unaweza kuja katika sura tofauti.
Mfano
kufa kwa nguvu za kiume,ni adhabu
tosha sana kwa mwanaume
yoyote yule duniani na inaweza kuwa
kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.
DAWA
YA ASILI NA YA UHAKIKA YA
KUKUFANYA UACHE KUFANYA PUNYETO.
Uzoefu
unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama
ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa
kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto
kwa muda wa siku arobaini mfululizo,mtu
huyo hatopiga tena punyeto katika siku
zote za maisha yake kwani tayari mtu
huyo atakuwa amerudia katika hali yakeya
kutokuwa addicted tena na upigaji punyeto,na
atalichukia kabisa hata jina la tendo
hilo achilia mbali tendo lenyewe.
UFANYE
NINI ILI USIPIGE PUNYETO KWA MUDA WA
SIKU AROBAINI MFULULIZO!
Sio
rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na
punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto
kwa muda wa siku arobaini mfululizo.
Anaweza
kujizuia kupiga punyeto kwa siku mbili
lakini baada ya hapo ataendelea tena
na mchezo wako.
ATUMIE
DAWA IPI?
![]() |
Pilipili |
PILIPILI
Pilipili
inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili
mradi iwe kali sana, ( Ila inayo
pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili
kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI
Kwanza
kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua
muda ambao huwa unapiga punyeto (
Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya
kuamka,wakati wa kuoga ama usiku kabla
ya kulala ).
Chukua
pilipili zako,zipasulie kwenye viganja vya
vidole vyako na kujipakaza katika viganja
vya vidole vyako.
Unaweza kutumia pili
moja kwa kila kiganja,na kwa kila
muda ambao huwa unapiga punyeto lakini
unaruhusiwa kujipakaza zaidi ya pilipili
moja.
Ukishajipaka
pilipili kwenye viganja vya vidole vyako,
moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha
kutokufanya punyeto,kwa sababu ukipiga punyeto
kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa
sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.
![]() |
Pilipili |
JAMBO
LA KUZINGATIA :
Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili
mpaka nne kila unapokuwa katika
maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya
punyeto.
UFANISI
WA DAWA HII :
Dawa
hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto.
Kwa
wale ambao hawajadhamiria haitaweza kuwasaidia.
Tiba
Na:neemaherbalist.
No comments:
Post a Comment