Serikali kwa kupitia Wizara ya Elimu imefanya mabadiliko kwenye Madaraja ya alama za mitihani ya kidato cha nne.
Hapo
awali Madaraja yalikuwa ni kama
ifuatavyo:
A = 81% - 100%
B = 61% - 80%
C = 41% - 60%
D = 21% - 40%
F = 0% - 20%
Mabadiliko
mapya yamefanywa na sasa Madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:
A = 80% - 100%
B = 65% - 79%
C = 50% - 64%
D = 35% - 49%
F = 0% - 34%
Taarifa
imetolewa mapema ili wanafunzi kwa kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na
mitihani ijayo.
No comments:
Post a Comment