Big Brother star game msindi ni Msauzi Keagan! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, August 06, 2012

Big Brother star game msindi ni Msauzi Keagan!

KEAGAN (kati)

Hayawi hayawi, hatimaye yamekuwa! Ni Msauzi Keagan! Ameibuka kidedea katika kinyanyiro cha Big Brother Afrika na amejinyakulia dola za Kimarekani 300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 400 za kibongo!


Keagan kati kati


Prezzo ameingia fainali na Msauzi huyo lakini bahati haikuwa. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad