Sasa nimehamia mtaa wa saba na Upendo wa MARAFIKI ni furaha!!! - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Sunday, August 05, 2012

demo-image

Sasa nimehamia mtaa wa saba na Upendo wa MARAFIKI ni furaha!!!

.com/simgad/
531618_253516638099050_561057055_n

Upendo wa MARAFIKI ni furaha;Ndugu zangu TUPENDANE kwa upendo wa kweli.Na rafiki mwema akikutendea mema mrudishie .

 

 Pia Upendo wa ndoa ni furaha;Ndugu zangu wapende wake zenu upendo wa kweli.


mtaa+wa+saba

UNAKUMBUKA ENZI ZA NYIMBO YA MTAA WA SABA ....****Sasa nimehamia mtaa wa saba!!! unahamaje na hicho kiatu? ilikuwa watu wanakula raha kwa kwenda mbele manake hiyo kitambaa eneo la paja bana halafu chini malizia mwenyewe!!!!

 

Pale tunamkuta marehemu Mbaraka Mwinshehe(pichani) akiuambia umma kwamba sasa amehamia Mtaa wa Saba,kutoka kule alikokuwa akiishi ambapo mapaka yalikuwa hayaishi kulia lia.

 

Anasema ile nyumba aliyokuwa anaishi sio nyumba,ilikuwa na mikosi…''Hivi ni kweli kwamba mahali unapoishi panachangia sana kufeli kwako au kufanikiwa kwako?Wewe unasemaje?


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *