Jeshi la Sudan limepambana na wanajeshi wa Sudan ya Kusini kwa siku ya pili katika upande wa Sudan wa mpaka wa pamoja wa nchi hizo mbili.
Kabla ya hapo Rais Omar al -Bashir wa Sudan ya Kaskazini aliahirisha kwa muda usiojulikana mkutano muhimu na Rais Salva Kirr wa Sudan ya Kusini uliokuwa umepangwa kufanyika wiki ijayo ili kuitatua migogoro ya mipaka iliyodumu kwa muda mrefu.
Lakini wakati hayo yakijiri,Serikali ya Marekani imesema ina wasi wasi mkubwa juu ya mvutano unaoendelea kati ya Sudan na Sudan ya Kusini kwenye mpaka baina ya nchi hizo.
semaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amezitaka nchi hizo ziepushe mgogoro huo ili usifikie hatua ya kushindwa kudhibitiwa.
Wednesday, March 28, 2012

Home
HABARI
MATAIFA MBALIMBALI IKIWEMO MAREKANI YAONYESHA KUTORIDHISHWA NA MTAFARUKU BAINA YA SUDAN KASKAZINI NA KUSINI.
MATAIFA MBALIMBALI IKIWEMO MAREKANI YAONYESHA KUTORIDHISHWA NA MTAFARUKU BAINA YA SUDAN KASKAZINI NA KUSINI.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment