Timu za Chelsea na Real Madrid ziilijiweka katika nafasi nzuri ya kuweza kufuzu kucheza Nusu Fainali za UEFA CHAMPIONZ LIGI baada ya kushinda mechi zao za kwanza za Robo Fainali wote wakicheza ugenini.
Real Madrid waliitandika APOEL Nicosia huko Cyprus bao 3 zote zikifungwa Kipindi cha Pili na Karim Benzema, bao mbili, na Kaka wakati Huko Ureno, Chelsea waliwatungua wenyeji Benfica kwa bao 1-0 kwa bao la Dakika ya 75 la Solomon Kalou na Timu hizi zitarudiana hapo Aprili 4.
Lakini wakati michuano hiyo ikiendelea FC Barcelona wameripotiwa kuongoza kwa Nidhamu ,Pasi, Kumiliki Mpira pamoja na Magoli katika michuano hiyo.
Ifatayo ni takwimu hizo.
Goals scored
1. FC Barcelona, 30 goals (3,75 per game)
2. Real Madrid, 24 goals (3 per game)
3. Bayern and Chelsea, 18 goals (2,25 per game)
Goals conceded
1. Real Madrid, 4 goals (0,5 per game)
2. FC Barcelona and Marseille, 6 goals (0,75 per game)
Shots
1. FC Barcelona, 134 efforts (16,75 per game)
2. Chelsea, 127 efforts (15,88 per game)
3. Real Madrid, 120 efforts (15 per game)
Efforts on goal
1. Real Madrid, 70 efforts (8,75 per game)
2. FC Barcelona, Bayern and Chelsea, 67 efforts (8,38 per game)
Efforts off target
1. FC Barcelona, 67 efforts (8,38 per game)
2. AC Milan, 61 efforts (7,62 per game)
3. Chelsea, 60 efforts (7.5 per game)
Corners
1. FC Barcelona, 54 corners (6,75 per game)
2. Real Madrid, 44 corners (5,5 per game)
3.Benfica, 43 corners (5.38 per game)
Possession1. FC Barcelona, 69% possession
2. Chelsea, 59% possession
3. Bayern, 56% possession
Fouls received
1. Marseille, 119 (14,88 per game)
2. AC Milan, 117 (14,75 per game)
3. FC Barcelona, 110 (13,75 per game)
Fouls committed
1. FC Barcelona, 78 9,75 per game)
2. Real Madrid, 91 (11,38 per game)
3. Chelsea, 102 (12,75 per game)
Yellow cards
1. FC Barcelona, 10 (1,25 per game)
2. Bayern, Chelsea and Real Madrid, 15 (1,88 per game)
Red cards
1. FC Barcelona and Chelsea, 0
2. Real Madrid, Benfica, Bayern, AC Milan and APOEL, 1
No comments:
Post a Comment