Mwenyekiti
huyo wa Chadema, amesema "Usalama
wa taifa ni usalama wa chakula, kama hakuna usalama wa chakula hakuna usalama
wa Taifa.
"Mtakubaliana
na mimi kuwa kwa miaka hii miwili vitu vimepanda bei lakini kipato cha wananchi
hakijaongezeka
"Bei ya
mahindi kwa mwakà 2015 ilikuwa ndogo lakini mwaka huu imefika zaidi ya 90,000.
Wananchi wanapata shida kwa sababu Serikali yao imewatupa wakulima."
Amesema Mbowe
|
Monday, July 31, 2017
Mbowe- Aalia na Ugumu wa Maisha kwa Watanzania.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment