Taswira Tope linapokwamisha Magari barabarani -Muleba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 23, 2017

Taswira Tope linapokwamisha Magari barabarani -Muleba.


Pichani ni baadhi ya Wananchi wakiondoa tope kwenye barabara itokayo Kamachumu kuelekea Bukoba mjini eneo la Lukono Kata ya Muhutwe wilaya ya Muleba Mkoani Kagera baada ya Magari 30 ya abiria pamoja na mizigo kukwama katika tukio lililotokea asubuhi ya May 14,2017 kutokana na ubovu wa Barabara na mvua zinazoendelea kunyesha mbele ya daraja la Kyabakoba.


Picha na Shaaban Ndyamukama

Post Bottom Ad