pesaaa

DSTV

Header Banner

Kutoka Rulenge Utazame Mto Ruvuvu uliopo Wilayani Ngara Mkoani Kagera.


Pichani hapa ni Muonekano wa Mto Ruvubu kupitia njia/barabara ya Ngara-Rulenge mkoani Kagera ambao unaenda mpaka Rusumo kutengeneza maporomoko ya rusumo yaliyopo kwenye Daraja la Kimataifa linalounganisha Tanzania na Rwanda.