Picha:Watu watatu wafariki katika ajali ya gari –Masumbwe. - Mwana Wa Makonda

Breaking

Post Top Ad

Wednesday, February 22, 2017

Picha:Watu watatu wafariki katika ajali ya gari –Masumbwe.


 Mmiliki wa Basi za Casablanca zinazofanya safari kati ya Kahama na Kigoma na wenzie wawili wakiwa kwenye gari dogo pichani aina ya Carina Ti namba T 625 CAM usiku wa kumkia leo,Inadaiwa wamepoteza maisha maeneo ya Masumbwe baada ya kupata ajali.Mashuhuda wanaeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo iliyotokea usiku wa jana saa tatu ni power tiller kukosa reflecters strips akiwa anajaribu kuikwepa maana hakuiona kwa mbali akahama upande wa pili wa barabara  ndipo akawa yupo katikati akapigwa na Lori ( truck ) upande wa kulia na kushoto akaburuzwa na power tiller.

Mungu awalaze mahala pema peponi amen.


Habari/Picha kwa hisani ya RSA TANZANIA(Road Safety Ambassadors)


Post Bottom Ad