Rais Mugabe atimiza miaka 93 na Aongoza kwa Marais wenye umri mkubwa Duniani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, February 22, 2017

Rais Mugabe atimiza miaka 93 na Aongoza kwa Marais wenye umri mkubwa Duniani.

Rais wa Zimbabwe ,Bw.Robert Mugabe Jumanne ya February 21,2017 ametimiza miaka 93 na kuwa rais mwenye umri mkubwa zaidi Duniani.

 Alizaliwa mnamo mwaka 1924 pia aliwahi kufungwa jela mwaka 1964 na kutoka mwaka 1974 kwa kosa la kutoa hotuba ya kuihujumu Serikali.

Lakini pia Umoja wa Ulaya(EU) umemuongezea muda wa vikwazo Mugabe, yeye pamoja na Mkewe Grace kwa mwaka 1 hadi tarehe 20 Februari mwakani.

Hata hivyo Rais Mugabe amesema kuwa Donald Trump hakuwa chaguo lake upande urais wa Marekani lakini pia hakupenda

Bi. Clinton ashinde kwakuwa angekuja kusimamia na kuviendeleza vikwazo iliyopewa nchi ya Zimbabwe.

Post Bottom Ad