TAZAMA PICHA:-Ukumbi wa Mkutano Mkuu Dodoma utakaofanyika Julai 23, 2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 21, 2016

TAZAMA PICHA:-Ukumbi wa Mkutano Mkuu Dodoma utakaofanyika Julai 23, 2016.

2. 5T7A0925
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Jumamosi ,Julai 23, 2016. 

Kulia ni Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

3. 5T7A0917
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpa maelezo Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Jumamosi , Julai 23, 2016. 

Kulia ni Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 
4. 5T7A0955
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wakitazama paa la Ukumbi, Kinana alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Jumamosi ,Julai 23, 2016.
 
5. 5T7A1062
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka kwenye banda la Uhuru Publications Ltd, Wachapishaji wa Magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani, alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, leo Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Jumamosi ,Julai 23, 2016.
6. 5T7A1059
Kinana akiwa kwenye banda hilo la Uhuru.
 
7. 5T7A1153
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akijadilijambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, alipokagua ukumbi wa mikutano wa CCM, Dodoma Conversion Center nje kidogo ya mji wa Dodoma, Jana, Julai 20, 2016, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM utakaofanyika Jumamosi ,Julai 23, 2016. 

Katikati ni Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka.

8. 5T7A1156
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akijadili jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi, baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto kukagua ukumbi huo.
9. 5T7A1139
Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo, baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kulia), kukagua ukumbi huo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rajab Luhwavi.

Picha na Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad