Basi la Mohamed Trans lapata ajali leo asubuhi baada ya kugongana na roli la mchanga eneo la Kyetema mjini Bukoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 16, 2012

Basi la Mohamed Trans lapata ajali leo asubuhi baada ya kugongana na roli la mchanga eneo la Kyetema mjini Bukoba.


Basi la Mohamed Trans 

Basi la kampuni ya  Mohamed Trans lililokua likisafiri kutoka Bukoba Mjini kwenda jijini Mwanza limepata ajali   huku abiria wake wanusurika  kifo.

 

 Ajali hiiyo mbaya imetokea asubuhi ya leo (Agust 16) mwaka huu majira ya saa 1 kasorobo eneo la Kyetema  umbali wa km 15 kutoka Bukoba mjini ambapo  chanzo cha ajali hiyo  ni roli la mchanga kubamizwa ubavuni wakati  likitaka kukata kulia kuelekea kwenye machimbo ya mchanga huku nyuma likija basi hilo  likiwa  mwendo kasi.



Muonekano wa ndani ya Basi hilo.

 




Picha juu na  chini ni Roli la mchanga baada ya kugongwa na basi la Mohamed Trans..









 Source: bukobawadau.blogspot.com


1 comment:

Post Bottom Ad