TASWIRA PICHA:-Kamati ya Mwenge wilayani Ngara yakagua Miradi 9 itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru Jumamosi July 23,2016. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, July 18, 2016

TASWIRA PICHA:-Kamati ya Mwenge wilayani Ngara yakagua Miradi 9 itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru Jumamosi July 23,2016.

Mkuu wa Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera Mhe. Lt.Col. Michael Mangwela Mntenjele akipokea maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Maji juu ya Tanki la Maji lililopo kijiji cha Rwinyana wilayani humo lenye uwezo wa kuchukua Lita 120,000 wakati wa ziara ya Kamati ya Mwenge kukagua Miradi itakayopitiwa na mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani Ngara July 23, 2016.

Mwenge huo utatembelea miradi ya maendeleo  9 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 1.95 kutoka sekta ya Elimu,Afya,Maji ,Kilimo ,Ufugaji,Uvuvi,Ardhi na Mazingira pamoja na miradi ya watu binafsi ,itawekewa jiwe la msingi,kuzinduliwa , kufunguliwa na kukaguliwa.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad