TAZAMA PICHA :-Ni za Mkutano Mkuu wa KAGERA PRESS CLUB June 26, 2015 na Kupata Viongozi wapya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 28, 2015

TAZAMA PICHA :-Ni za Mkutano Mkuu wa KAGERA PRESS CLUB June 26, 2015 na Kupata Viongozi wapya.


Viongozi wa Kagera Press Club –KPC waliokuwa wanamaliza muda wao wa Uongozi wa miaka 3.Kutoka kushoto ni Mathias Byabato,Peragia Katunzi,Gilbert Makwabe,John Rwekanika,Phinias Bashaya,Mbeki Mbeki na Lilian Lugakingira.Picha zote kwa Hisani ya Harakatinews blog


Zoezi la upigaji wa kura.


Mwenyekiti wa Muda Fr Processius Mutungi (kulia) akishauriana jamba na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ndugu Meddy Mulisa.

Viongozi wapya tayari wamepatikana.Anayeongea ni Mbeki Mbeki ambaye ni Mwenyekiti mpya wa KPC.pamoja na uchaguzi mkutano huo pia ulipitisha Wanachama wapya 18 pamoja na kupata taarifa ya utekelezajiwa ya Mwaka ya KPC.

Picha ya pamoja viongozi wapya pamoja na wajumbe wa Mkutano...Picha zaidi Tazama kwa Kubofya hapa Harakatinews blog.


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad