AJALI / PICHA:- Taswira Picha 6 za gari dogo likipata Ajali na Kuharibika Vibaya mjini Geita leo June 28,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 28, 2015

AJALI / PICHA:- Taswira Picha 6 za gari dogo likipata Ajali na Kuharibika Vibaya mjini Geita leo June 28,2015.

Ni gari dogo tasi lenye namba za usajili T 207 DBD likiwa limeharibika vibaya baada ya kupata ajali wilayani Geita mkoani Geita,Mashuhuda wa ajali hiyo iliyotokea leo June 28, 2015,wamesema kuwa chanzo chake ni mwendo kasi na hakuna mtu aliyekufa zaidi ya Kuleta Majeruhi.

 



Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad