AJALI:-Picha 4 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 29, 2015

AJALI:-Picha 4 za ajali ya gari waliyoipata Nizar Khalfan na Shaban Kado.

Ajali imetokea Bahi Dodoma na kwenye gari miongoni mwa waliokuwemo ni pamoja na golikipa Shaban Kado na mchezaji Nizar Khalfan wa Mwadui FC na chanzo ni tairi la nyuma kuchomoka.

Kwenye interview na millardayo.com Kado amesema hakuna yeyote aliyepoteza maisha ,isipokuwa majeraha waliyoyapata akiwemo Shaban Kado ambaye ameumia pia mkono wake wa kulia ambapo walikua watu wanne ndani ya gari....Picha zote kwa Hisani ya millardayo.com

Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad