HABARI ZA HIVI PUNDE:-Buhari anusia ushindi wa urais Nigeria. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 31, 2015

HABARI ZA HIVI PUNDE:-Buhari anusia ushindi wa urais Nigeria.

Jen Buhari: Kura 14.2m ;Ametimiza asili mia 25% katika majimbo 24.


Jonathan: Kura 11.4m ;Ametimiza asili mia 25% katika majimbo 24.

Matokeo ya majimbo 33 + Abuja

Wagombeaji wanahitaji kushinda robo ya kura katika majimbo 24 ilikutangazwa mshindi katika raundi ya kwanza .


Pata Picha, Habari za Kisiasa, Kijamii, Kiuchumi na Michezo kila stori inayonifikia wakati  wowote ukijiunga na mimi kwa kubonyeza…..FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad