MAPIGANO TANGA:-Soma kile kikielezwa kuwa Ngoma bado Nzito,Magaidi watajwa kuwa ni Makomando. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, February 24, 2015

MAPIGANO TANGA:-Soma kile kikielezwa kuwa Ngoma bado Nzito,Magaidi watajwa kuwa ni Makomando.

Polisi wakipambana na magaidi hao......YALE mapigano yaliyotikisa Mapango ya Amboni jijini Tanga kwa saa 48 kati ya watu wanaodaiwa na Wananchi kuwa ni magaidi na majeshi ya ulinzi ya Tanzania bado ngoma nzito kufuatia baadhi ya wananchi kusema mengine mapya wanayoyajua kuhusu magaidi hao.

Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa Vijiji vya Mafuriko, Mikocheni, Majimoto, Kilomoni na Amboni yenyewe, wanaamini wahalifu hao ni makomandoo wazuri na waliishi kwenye mapango hayo wakijua siku wakivamiwa watapambana vikali.KUSOMA ZAIDI ISHU HII BOFYA HAPA.

UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad