AJALI:-Watatu Wanusurika Kufu kwa Ajali Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, February 27, 2015

AJALI:-Watatu Wanusurika Kufu kwa Ajali Mwanza.

Mwonekano wa gari hilo baada ya kupata ajali….Gari  dogo aina ya Toyota RAV4  limepinduka Jumatano Februari 25,2015  katika kijiji cha Mbela wilayani Misungwi, mkoani Mwanza na kujeruhi watu kadhaa waliokuwa ndani yake baada ya kumshinda dereva wake wakati lilikata kona na hivyo kuanguka katika bonde la daraja.

 Kwa mujibu wa mashuhuda, gari hilo lenye usajili wa T 358 CBA mali ya Machalo Joseph,  lilikuwa likiendeshwa na Festo Kakula wa Misungwi, na baada ya ajali majeruhi walikimbizwa katika hospitali ya Mitindo wilayani Misungwi.


Wasamaria wema wakitoa msaada.


Mashuhuda wakiwa katika eneo la tukio...  ...UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad