AJALI:-Taswira Gari la Zimamoto (FIRE) Bukoba likipinduka wakati Linawahi kuzima Moto. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 19, 2015

AJALI:-Taswira Gari la Zimamoto (FIRE) Bukoba likipinduka wakati Linawahi kuzima Moto.

Gari la kikosi cha zimamoto katika Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera limepata ajali katika eneo la darajani Migera Manispaa ya Bukoba wakati likiwahi kuzima moto uliojitokeza katika eneo la Migera leo hii Februari 19,2015.
Aidha Mfanyakazi mmoja wa zimamoto amepata majeraha .



Picha zote Na:-Harakati news-Bukoba..................UNGANA  NASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad