UTAMADUNI WETU:-Tazama Picha 7 Jinsi Ngoma ya Asili ya Taifa la Rwanda lilivyofunika siku ya Ufunguzi wa Daraja Jipya la Kimataifa la Rusumo na Kituo cha Pamoja cha Forodha wilayani Kirehe,Rwanda Januari 10,2015. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 15, 2015

UTAMADUNI WETU:-Tazama Picha 7 Jinsi Ngoma ya Asili ya Taifa la Rwanda lilivyofunika siku ya Ufunguzi wa Daraja Jipya la Kimataifa la Rusumo na Kituo cha Pamoja cha Forodha wilayani Kirehe,Rwanda Januari 10,2015.

Wananchi waishio Mpakani mwa Tanzania na Rwanda eneo la Rusumo wilayani Ngara,mkoani Kagera nchini Tanzania  na Kirehe nchini Rwanda walipata burudani hii ya kiutamaduni wa Raia wa Rwanda Pichani  wakati Shirika la Ushirikiano na Misaada ya Kimataifa la Japan (JICA) lilipokabidhi Mradi wa Ujenzi  wa Daraja la Kimataifa la Rusumo na kituo cha utoaji wa huduma za pamoja kwa nchi za Tanzania na Rwanda, katika sherehe fupi iliyofanyika upande wa Rwanda katika Wilaya ya Kirehe Januari 10,2015.




Sherehe hizo pia zilihudhuriwa na  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw.John Mongella katikati, Waziri wa Miundombinu wa Rwanda Bw.Musoni Protais kushoto na Rais wa JICA Dkt. Akihiko Tanaka kulia.BOFYA HAPA KUTAZAMA PICHA NA KUSOMA ZAIDI

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad