MAFUNZO JKT 2014:-Soma Majina ya waliomalida Kidato cha Sita ,mwaka 2014-wanaotakiwa kwenda kuripoti Mafunzo ya JKT na Kambi walizopangiwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 13, 2014

MAFUNZO JKT 2014:-Soma Majina ya waliomalida Kidato cha Sita ,mwaka 2014-wanaotakiwa kwenda kuripoti Mafunzo ya JKT na Kambi walizopangiwa.


UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA WANAOMALIZA KIDATO CHA SITA -MEI 2014.


  • AWAMU YA KWANZA; VIJANA 20,000 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 01 JUNI 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO YAO TAREHE 08 JUNI 2014 NA KUMALIZA TAREHE 04 SEPTEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 11 MEI 2014 KUANZIA SAA NNE (4) ASUBUHI.
  • AWAMU YA PILI; VIJANA 14,450 WATARIPOTI KWENYE MAKAMBI YA MAFUNZO YA JKT KUANZIA TAREHE 11 SEPTEMBA 2014 NA KUANZA RASMI MAFUNZO TAREHE 18 SEPTEMBA 2014 NA KUMALIZA TAREHE 17 DESEMBA 2014. ORODHA YAO ITAANZA KUONEKANA KWENYE WEBSITE YA JKT TAREHE 15 MEI 2014 KUANZIA SAA KUMI (10) JIONI.
  • KIJANA YEYOTE MWENYE ULEMAVU UNAOONEKANA ARIPOTI KATIKA KAMBI YA MAFUNZO YA RUVU JKT (832 KIKOSI CHA JESHI).
  • VIJANA WOTE WANATAKIWA KUWA NA VYETI VYA KUMALIZA KIDATO CHA SITA ( LEAVING CERTIFICATE).
  • INASISITIZWA VIJANA WARIPOTI KWENYE MAKAMBI WALIOPANGIWA NA SIO KUJA MAKAO MAKUU YA JKT.
BOFYA HAPA CHINI KUTIZAMA MAJINA KWENYE VIKOSI MBALIMBALI.










IMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA.

13 comments:

  1. huu ni usenge kumamamamke. tunapotezeana mida ya kutafuta michomoko

    ReplyDelete
  2. Naomba majina yaweze kuonekana katika mpango wa shule na mwanafunzi alikopangiwa kurahisisha upatikanaji wake

    ReplyDelete
  3. Kwa nini majina yaliyopangiwa makambi mbalimbali, hayafunguki wala hayaonekani? Muwe mnajiandaa kabla ya kupublish masuala yenu.

    ReplyDelete
  4. UTARATIBU HUU WA KUTAFUTA MAJIA NI MGUMU SANA IWEKWE KWENYE TOVUTI MOJA

    ReplyDelete
  5. This is really not fair, we could have done something more productive

    ReplyDelete
  6. Majina haya wadau yanapatikana katika tovuti hii www.jkt.go.tz'tazameni zaidi

    ReplyDelete
  7. No names found is there any problem?????

    ReplyDelete
  8. tutakapofka huko bas tuheshim hak za binadam hasa madada.. maana hadlalilishwa sana

    ReplyDelete
  9. Safi sana, vijana wajifunze uzalendo kwani nchi yetu inaelekea pabaya sasa. It could be good 4 those who have not gone there to attend also. BIG UP

    ReplyDelete
  10. majina ya awamu ya pili mbona hayaonekana????????????????

    ReplyDelete
  11. Nimewamind sana na mhakkshe awam ya 2 wanaenda

    ReplyDelete
  12. Majina ya awamu yapili mbona hayapo....Hacheni kutuchanganya muwe serious nakazi zenu

    ReplyDelete
  13. Kiukweli i love jeshi so mush..i wish to come back as volunteer

    ReplyDelete

Post Bottom Ad