TASAF AWAMU YA TATU:-Kunusuru Kaya Maskini zipatazo Elfu 8....'' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 16, 2015

TASAF AWAMU YA TATU:-Kunusuru Kaya Maskini zipatazo Elfu 8....''

Mkuu wa wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera,Bw. Richard Mbeho (wa pili kulia) akiwa na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Salama ya wilaya hiyo pamoja na Mkurugenzi wa TASAF Taifa Bw.Alphonce Kyariga  (wa kwanza kushoto) wakati wa uzinduzi wa  TASAF awamu ya tatu itakayonusuru kaya maskini 8000 wilayani humo . Kulia kwake ni Mbunge wa jimbo la Biharamulo Magharibi Dr Anthony Mbassa...Picha Na:-Shaaban Ndyamukama.


Mkurugenzi wa TASAF  Taifa Bw.Alphonce Kyariga  kushoto akiwa na Watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Bw.Octavian Mshana wa pili kushoto na Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Bw.Richard Mbeho wa tatu kulia.
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa TASAF  Taifa Bw.Alphonce Kyariga  na Mbunge wao Dr.Anthon Mbassa wa tatu kulia akifuatiwa na Mkuu wa wilaya hiyo mkoani Kagera Bw.Richard Mbeho wakati wa uzinduzi wa Mradi wa TASAF awamu wa III hivi karibuni mjini Biharamulo.
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad