NDEGE WETU:-Taswira ya Bundi huyu katika Majengo ya Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 16, 2015

NDEGE WETU:-Taswira ya Bundi huyu katika Majengo ya Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera.

Bundi ni Ndege ambaye akionekana mbele ya baadhi ya watu,kwa imani yao uhisi ni ushirikiina lakini ni Ndege kama ndege wengine anayehitaji makazi bora kama anavyoonekana pichani akiwa amejihifadhi katika Majengo ya Ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera......Picha na Shaaban Ndyamukama.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad