PICHA / HABARI :-Shehena ya Mirungi Yakamatwa ikisafirishwa kwenye Basi la Dar Express ikitokea Arusha. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Monday, January 12, 2015

demo-image

PICHA / HABARI :-Shehena ya Mirungi Yakamatwa ikisafirishwa kwenye Basi la Dar Express ikitokea Arusha.

.com/simgad/
IMG-20150111-WA0002
Askari wa Jeshi la Polisi wakifanya ukaguzi wa Basi la Dar Express lenye namba za usajili T 244 BXQ.

 Askari hao wamekamata magunia zaidi ya 16 ya Mirungi katika kituo cha ukaguzi cha Chekeri Korogwe basi ilo lilikuwa linatokea Arusha.

Basi hilo lilikamatwa jana Januari 11,2015, majira ya saa nane mchana na kupelekwa mpaka katika kituo cha wilaya cha Polisi Korogwe, Mtu mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kuhisiwa anahusika na tukio hilo pia konda wa Basi hilo anashikiriwa na Polisi.

IMG-20150111-WA0005
Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa wanapakia Magunia ya Mirungi katika Gari lao baada ya Kuyakamata.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *