MAAJABU YA DUNIA:-Tazama Picha 6 za Mwanaume mwenye ‘HIPS’ Na SHEPU la Kidada. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, January 16, 2015

MAAJABU YA DUNIA:-Tazama Picha 6 za Mwanaume mwenye ‘HIPS’ Na SHEPU la Kidada.

Kijana Micah ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua nafasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi.



Kijana huyo akiwa katika mapozi mbalimbali.


Kijana huyo akiwa katika mapozi mbalimbali.

MICAH ni mwanaume lakini ana hips kama au zaidi ya mwanamke baadhi ya wadada huzitamani kiasi cha kuamua kuzitafuta kwa daktari.

Kijana huyo ambaye ni msanii wa R&B anayechipukia mwenye miaka 20 kutoka Chicago, Marekani, amechukua headlines kutokana na umbo lake kuwashangaza wengi. 

Hivi ni vipimo vya mwili wake:

Kifua: 41.5″ Kiuno: 37″ butt/hips: 63″

Chanzo:-GPL. 
 
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad