LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Azam FC yashinda 3 dhidi ya Kagera Leo Januari 20,2015 sasa Kileleni mwa Ligi kuu! - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 20, 2015

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Azam FC yashinda 3 dhidi ya Kagera Leo Januari 20,2015 sasa Kileleni mwa Ligi kuu!

Mabingwa Watetezi Azam FC, leo Jumanne  Januari 20,2015 walikuwa  huko Jijini Mwanza kuivaa Kagera Sugar katika Mechi pekee ya Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara na kuwafanya Azam FC kurudi kileleni mwa Ligi Kuu kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Mechi hii ni moja ya Mechi viporo kwa Timu za Azam FC, Yanga, Simba na Mtibwa Sugar ambazo ziliahirishwa kwa sababu ya ushiriki wao kwenye Mapinduzi Cup huko Visiwani Zanzibar mapema Mwezi huu na Simba kuibuika Bingwa wake.

Magoli ya Azam FC leo yamefungwa na Kipe Tchetche , Didier Kavumbangu kwa shuti la guu la kulia akifunga mabao mawili katika mchezo huo na  huku Kipindi cha pili, Kagera Sugar walikanza vizuri wakifanikiwa kupata bao dakika ya 55, mfungaji  Rashid Mandawa.

Kwa matokeo hayo, mabingwa hao watetezi wanatimiza pointi 20 baada ya kucheza mechi 10, tatu zaidi ya Mtibwa Sugar wanaoshika nafasi ya pili, lakini wana mechi moja mkononi.

Mechi ijayo kwa Azam FC ni hapo Jumamosi Jijini Dar es Salaam watakapoivaa Simba SC.


UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

RATIBA.

Jumamosi Januari 24,2015.

Azam FC v Simba 

Kagera Sugar v Ndanda FC

Stand United v Coastal Union

Polisi Morogoro v Yanga

Mbeya City v Tanzania Prisons

Ruvu Shooting v Mtibwa Sugar

Januari 25,2015.

JKT Ruvu v Mgambo JKT

MSIMAMO
 
NA
TIMU
P
W
D
L
F
 A
 
GD
PTS
1
Azam FC
10
6
2
2
14
7
 
7
20
2
Mtibwa Sugar
9
4
5
0
12
5
 
7
17
3
JKT Ruvu
11
5
2
4
11
10
 
1
17
4
Yanga
9
4
3
2
11
7
 
4
15
5
Polisi Moro
11
3
6
2
9
8
 
1
15
6
Kagera Sugar
11
3
5
3
8
8
 
0
14
7
Coastal Union
10
3
4
3
9
8
 
1
13
8
Mgambo JKT
10
4
1
5
5
9
 
-4
13
9
Simba
9
2
6
1
9
7
 
2
12
10
Ruvu Shooting
11
3
3
5
5
8
 
-3
12
11
Mbeya City
9
3
2
4
4
6
 
-2
11
12
Stand United
11
2
5
4
7
13
 
-6
11
13
Ndanda FC
11
3
1
7
10
16
 
-6
10
14
Tanzania Prisons
10
1
5
4
6
8
 
-2
8

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad