![]() |
|
Serikali ya
Kenya imeanzisha mpango kabambe wa kutoa huduma za kuokoa kwa kutumia ndege na
magari kwa watumishi wa umma nchini humo, katika uzinduzi uliofanyika hivi karibuni.
|
![]() |
|
Huduma hiyo
imezinduliwa kwa ushirikiano na shirika la bima ya afya,shirika la msalaba
mwekundu na kundi la Madaktari wanaosafiri kwa ndege la AMREF.
|
![]() |
|
Taifa la Kenya
inakuwa nchi ya pili baada ya Afrika Kusini kutoa huduma ya aina hii.
|
![]() |
|
Victor
Kenani alkuwepo kwenye uzinduzi wa mpango huo ambapo Rais Uhuru Kenyatta
alihudhuria.Chanzo :-BBC Swahili.
|









No comments:
Post a Comment