AJALI:-Hizi ni picha 5 zitazame za Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi alivyopata Ajali januari 10,2015 mlima Kitonga. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, January 11, 2015

AJALI:-Hizi ni picha 5 zitazame za Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi alivyopata Ajali januari 10,2015 mlima Kitonga.

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,CHADEMA,Mh. Joseph Mbilinyi amepata ajali  na kunusurika kifo,ajali hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa mchana wa jana Januari 10,2015.

 
Gari ya mbunge huyo baada ya kupinduka…. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Mh. Mbilinyi alikuwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar es Salaam, akiwa na wenzake watatu akiwemo Katibu wake, Kwame Anangise, Eddy na Kiboya waliumia na kukimbizwa hospitali mjini Iringa baada ya gari lao lenye namba za usajili T 148 BQE baada ya kupata hitilafu ya breki na kupinduka mlima Kitonga jana Januari 10,2015.

UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad