HII NDIO BONGO:- Tazama Picha Jinsi wachezaji wa AFRICA LYON Walivyopigwa na Mashabiki wa Lipuli FC. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 10, 2015

HII NDIO BONGO:- Tazama Picha Jinsi wachezaji wa AFRICA LYON Walivyopigwa na Mashabiki wa Lipuli FC.

Mchezaji wa Africa Lyon, Rajab Khamis aliumia mkono kufuatia kupigwa na mashabiki wa Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa ligi daraja la kwanza 2014/2015 uliopigwa Januari 07,2015 na kumalizika kwa suluhu.

Raizan Hafidh aliumia nyama za paja baada ya kukatwa mtama ba kukanyagwa katika paja na mashabiki wa Lipuli.

Kasim Simbaulanga naye aliumia mkono kutokana na fujo hizo....PICHA ZAIDI ZIKO HAPA BOFYA
UNGANANASI KATIKA  FACEBOOK , TWITTER , INSTAGRAM , Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad