Nao Mabingwa
wa Ungereza Manchester City imeshinda mabao 3-2 dhidi ya Bayern Munich katika
mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa November 25, 2014 kwenye
Uwanja wa Etihad.
Sergio
Aguero alifunga mabao mawili dakika za mwishoni ili kuipatia ushindinhuo
Manchester City, ambao sasa wanafufua matumaini ya kufuzu hatua ya mtoano ya
michuani hiyo.
Aguero
aliifungia bao la kuongoza City dakika ya 21 kwa penalti iliyomponza Mehdi
Benatia kutolewa kwa kadi nyekundu kwa rafu aliyocheza.
Bayern
Munich ikatoka nyuma na kupata mabao mawili yaliyofungwa na Xabi Alonso dakika
ya 40 na Robert Lewandowski dakika ya 45.
Lakini
shukrani kwake Aguero aliyeifungia City dakika ya 85 na 90 kukamilisha hat
trick yake jana.
Man City sasa
itasafiri kuwafuata Roma kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kundi hilo Jumatano
ya Desemba 10,2014, ikihitaji ushindi ili ifuzu.
KUNDI E.
CSKA Moscow 1 AS Roma 1 Manchester City FC 3 FC Bayern Munich 2
|
FC Porto,
ambao tayari walikuwa wameshafuzu, wameishindilia BATE Borisov Bao 3-0 .
KUNDI H.
FC BATE Borisov 0 FC Porto 3 FC Shakhtar Donetsk 0 Athletic Club 1
|
Bao la Luis
Suarez na Hetitriki ya Lionel Messi zimewapa ushindi FC Barcelona wa Bao 4-0
walipocheza Ugenini huko Cyprus na Apoel Nicosia.
Timu zote
zìlimalìza zikiwa Mtu 10 baada ya Joa Amorim wa Apoel na Rafinha wa Barca
kupewa Kadi Nyekundu baada ya Kadi za Njano mbili.
Bao hizo za
Messi zimemfanya sasa awe ndie Mfungaji Bora katika Historia ya Mashindano haya
akiwa na Bao 74 akifuatiwa na Raul, Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, mwenye
Bao 71, na kisha Cristiano Ronaldo mwenye Bao 70.
KUNDI F
APOEL FC 0 FC Barcelona 4 Paris Saint-Germain 3 AFC Ajax 1
TIMU
ZILIZOFUZU KUINGIA RAUNDI YA MTOANO.
|
-Real Madrid
CF
-FC
Barcelona
-Paris
Saint-Germain
-Borussia
Dortmund
-FC Bayern
Munich
-FC Porto
-Shakhtar
Donetsk
-Chelsea
**BADO
TIMU 8.
**Timu
zinazomaliza Nafasi ya 3 zinapelekwa EUROPA LIGI.
UEFA
CHAMPIONZ LIGI 2014/2015 - RATIBA
**Saa za
Bongo
Jumatano
Novemba 26,2014.
20:00 Zenit
St. Petersburg – Russia vs Benfica - Portugal
22:45
Arsenal FC – England vs BV Borussia Dortmund - Germany
22:45
Atletico de Madrid – Spain vs Olympiacos CFP -
Greece
22:45 Bayer
04 Leverkusen – Germany vs AS Monaco FC - France
22:45 FC
Basel 1893 – Switzerland vs Real Madrid CF -
Spain
22:45 Malmö
FF - Sweden vs Juventus FC - Italy
22:45 RSC
Anderlecht – Belgium vs Galatasaray Spor Kulübü -
Turkey
22:45
Ludogorets Razgrad – Bulgaria vs Liverpool - England
No comments:
Post a Comment