MIRADI YA MAENDELEO:-Taswira ya Kamati ya Utekelezaji ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ziarani Ngara na kubaini Ubadhirifu wa Fedha katika miradi ambayo sio Shirikishi kwa Wananchi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 01, 2014

MIRADI YA MAENDELEO:-Taswira ya Kamati ya Utekelezaji ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ziarani Ngara na kubaini Ubadhirifu wa Fedha katika miradi ambayo sio Shirikishi kwa Wananchi.


Hapo kushoto ni Daraja la zamani huku kulia ni Jipya la Mto Rusumo wilayani Ngara mkoani Kagera ambalo sasa magari zaidi ya 150 yameanza kulipita baada ya ujenzi wake kukamilika ,kutoka na kuingia nchi ya Tanzania na Rwanda kupitia mpaka wa Rusumo.Picha Na:-Shaaban Ndayamukama-Ngara.



Mwenye skafu ni Mkuu wa mkoa wa Kagera ,Kanal Fabian Masawe ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera akiwa na kamati hiyo ilipofanya ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Ngara Agosti 30,2014.Kamati hiyo iliongozwa na  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera,Bi. Costansia Buhiye mwenye kitambaa cheusi mkononi kwa mbele,kushoto ni Katibu Tawala wilaya ya Ngara Bw.Vedastus Tibaijuka.




Picha juu na chini ni muendelezo wa ujenzi wa ofisi mbalimbali katika mpaka wa Rusumo zinazotarajiwa kukamilika mwezi November 2014.












Kamati ya Utekelezaji ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera ilifika hadi Kata ya Murusagamba wilayani Ngara  kutathmini na kujiridhisha utekelezaji wa Ilani ya chama ya mwaka 2010.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera,Bi. Costansia Buhiye, aliwataka wananchi kuwa na Umoja pamoja na kudumisha ushirikiano,amani na Upendo.


PIA Kamati hiyo ilibaini ubadhirifu wa fedha za umma katika Miradi mbalimbali…ZAIDI SOMA HAPA UBADHIRIFU HUO
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad