AJALI:-Tazama Picha 4 za Lori likipata Ajali katika mteremko mkali wa Kojifa wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 01, 2014

AJALI:-Tazama Picha 4 za Lori likipata Ajali katika mteremko mkali wa Kojifa wilayani Ngara mkoani Kagera.

Ajali hii ilijitokeza baada ya Lori hili kufeli mfumo wake wa breki wakati likitoka Mjini Ngara likiwa limepakia mzigo wa Parachichi  siku ya Jumamosi Agosti 30,2014,katika eneo la mteremko mkali wa Kojifa na hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha zaidi ya kujeruhiwa.

Picha WhatsApp +255789925630 Na-Khamis Mkama-Ngara.

Chini ni muonekano wa Parachichi zilizoanguka na kuharibika vibaya baada ya lori hilo kupata Ajali.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad