Ubovu wa barabara hii huadababisha magari hususani malori yenye mizigo kuharibika na mengine kuanguka. Hii ndio barabara kuu inayotumika kusafirishia mizigo toka bandari za Dar es Salaam na Tanga kwenda DRC, Burundi, Rwanda na Uganda. Picha Na –RK Ngara.
No comments:
Post a Comment