![]() |
Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (wa tano kutoka kushoto)
pamoja na viongozi wengine wakishangilia kukamilika kwa zoezi la kupokea kivuko
kipya cha MV. MWANZA. Kivuko cha MV. Mwanza kimeanza kazi ya kubeba abiria na magari, mara baada ya mapokezi hayo kukamilika. |
![]() |
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwelwe (katikati) akikata utepe uliofungwa kwenye kivuko cha MV. MWANZA kuashiria kukamilika mapokezi ya kivuko hicho. Kivuko cha MV. Mwanza kimeanza kazi ya kubeba abiria na magari, mara baada ya mapokezi hayo kukamilika. |
Waziri wa
ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Mheshimiwa Isack Kamwelwe (wa nne kutoka kushoto)
akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongela (kulia kwake) na
kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme
(TEMESA) Brigedia Generali Mstaafu Mhandisi Mabula Mashauri kupokea kivuko
kipya cha MV. MWANZA kinachotoa huduma kati ya Kigongo na Busisi mkoani Mwanza.
Picha Na- Theresia Mwami - TEMESA
|
No comments:
Post a Comment